FREE MEDICAL CAMP AT KWA MBUZI IN RUAI

  0  
Kaimu Afisa Mkuu wa Idara ya Afya katika Serikali ya Kaunti ya Laikipia (Donald Mogoi) na timu yake yote wanakualika ewe mkaaji wa Kwa-Mbuzi, Ruai, Stadium, Kilimo, Kichinjio na maeneo yaliyo karibu kwa matibabu bila malipo kesho Alhamisi.
Baadhi ya huduma zitakazopeanwa ni kama:
- Masomo kuhusu Afya,
- Uchunguzi wa kansa ya matiti na nyungu ya mtoto,
- Uchunguzi wa kifuakikuu (TB),
- Chanjo,
- Upangaji wa uzazi,
- Kupimwa virusi vya ukimwi,
- Walio na funza (jiggers) pia watatibiwa,
- Na kadhalika.
Kumbuka huduma zote zitapeanwa bila malipo.

  News & Events

  1. The 2024 Mashujaa Day Celebrations in Laikipia CountyOct 20, 2024 - Laikipia County celebrated the 61st Mashujaa Day…
  2. Empowering Self-Help Groups: 21 Groups Receive Ksh 4.1 million Loan from County Enterprise FundOct 11, 2024 - Twenty-one (21) Self-Help Groups from Nanyuki and…
  3. Tree Planting During Mazingira Day in Laikipia CountyOct 10, 2024 - Laikipia County marked the National Mazingira Day…

  Social Media